
Hasara za kuwa baba wa kambo - JamiiForums
2020年3月25日 · Mwanaume aliekamilika kimwili na kiakili anatakiwa kuanzisha familia yake yeye mwenyewe, ni ujinga, upumbavu, ushenzi na utahira kwa kijana kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine. Binafsi nikiona kijana amekubali kuwa baba wa kambo huwa namwona kama mgonjwa wa akili. 3. Kuongezeka kwa gharama za …
Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za …
2025年2月3日 · “Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kuwa mwenyeji wa mkutano huo ambao unalenga kutafuta suluhu ya mgogoro wa Mashariki mwa DRC," alisema Rais Ruto. Kulingana na Rais Ruto, wawili hao wamethibitisha uwepo wao kwenye mkutano huo wa pamoja ambao utatanguliwa na mkutano wa mawaziri siku ya Ijumaa, kabla ya Wakuu wa EAC na SADC hawajakutana siku ...
Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais …
2017年6月4日 · Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025 Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema ""Dkt.
Pre GE2025 - Naunga mkono hoja ya Ally Keissy kuwa Rais Samia ...
2025年2月26日 · Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli. Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi. Pia amesema kuwa yeye...
Upole, utulivu, usiri na utiifu uliniwezesha kuwa na mabinti wengi ...
2020年8月3日 · Basi mama hakujua kabisa kuwa nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na rafiki yake. Nyie vijana wa sasa tulieni,msiwe mnaropoka hovyo na wala msijisifu kuwa unamla huyu au yule hamtafaidi kitu. Na uzembe kitandani acheni kabisa.Bidii,ustadi na ubunifu ni muhimu sana,kila wakati demu wako mfanye rafiki ila mkiwa kitandani awe ni adui,mshambulie ...
Ashakum si matusi, ila nachelea kusema kuwa taaluma ya
2014年1月17日 · Mathalani, mwandishi anamuuliza kiongozi wa Serikali kuwa sheria ya kodi inamtaka ofisa wa forodha anapotekeleza majukumu yake lazima aambatane na ofisa wa Polisi, mwandishi huyo anapoulizwa ni kifungu kipi cha sheria ya kodi kinachoamuru iwe hivyo katika utekelezaji wa majukumu ya ofisa wa forodha kulazimika kuambatana na ofisa wa Polisi ...
DOKEZO - Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa …
2024年2月26日 · Wakuu kuna vitu serkali inawafanyia wananchi wake unabaki na maswali mengi sana yasiyo kuwa na majibu. Inawezekana vipi shamba langu limegundurika kuwa lina madini kama dhahabu,shaba,chuma na ulanga bei ipangwe na serikali kuwa hawa wenye mashamba tutawapa kila heka m5(mfano) bila kuwa husisha wananchi wenyewe?
Pre GE2025 - Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda
2025年2月28日 · kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda. Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani, alipohitimisha ziara yake ya siku sita, Rais Samia amesema kuwa tayari Serikali imeanza kupanua viwanda vilivyopo na kujenga vipya ili …
Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli
2020年7月7日 · Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania. Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na yenye thamani kubwa katika soko la nishati duniani. Kuzalisha mafuta kutoka gesi asilia itakuwa na manufaa kadhaa kwa uchumi na ustawi wa Tanzania.
SI KWELI - Barua ya bodi ya ligi kuwaambia Simba mchezo
2025年3月8日 · Kumekuwapo na barua inayosambaa inayoonesha kuwa bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) wamejibu Taarifa kwa umma iliyotolewa na timu ya Simba Sporst Club, ambapo pamoja na mambo mengine barua hiyo ya bodi inaeleza kuwa imeona malalamiko ya Simba lakini wanaagiza mchezo huo uendelee kama ulivyopangwa kuheshimu ratiba ya ligi.