Dar es Salaam. Hakuna kuzubaa ndiyo kauli mbiu ya duru la pili katika Ligi Kuu Bara wakati mchakamchaka wa ligi hiyo ukiingia raundi ya 20, huku Kocha wa Yanga Miloud Hamdi akienda kukutana na klabu ...