Mzozo huo ulianza Januari wakati Ethiopia isiyo na bandari ilipofikia makubaliano na eneo lililojitenga la Somalia la Somaliland kukodisha sehemu ya ufuo kwa ajili ya bandari na kambi ya kijeshi.
wameshambulia kambi ya wanajeshi wa Jeshi la taifa la Somalia na vikosi vya Jubaland katika eneo la Juba ya Chini," Wizara ya Ulinzi imesema katika taarifa. Wizara hiyo pia imesema kuwa Bw.