Waziri Mkuu pia amekabidhi tuzo kwa wadau wa Michezo kwa kuipigania sekta hiyo kwa jasho na damu akiwemo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paramagamba Kabudi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ...
Siku 24 baadaye, Agosti 14, 2024 Rais Samia alifanya mabadiliko mengine yaliyoshuhudiwa yakiwarejesha kwenye Baraza la Mawaziri, Profesa Palamagamba Kabudi na William Lukuvi. Profesa Kabudi aliteuliwa ...
Profesa Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji. Msigwa amesema serikali inaendelea kuboresha sekta hiyo ili kuleta mabadiliko chanya kwa kufanya marekebisho ya baadhi ya sheria ...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuchukua hatua kwa kuwaandikia timu ya Simba SC na kuwanakiri Shirikisho la Kandanda ...