UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), ambao umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu siku za hivi karibuni, umefanyika mwishoni mwa wiki na Mahamoud ... Youssouf, sasa anakwenda kumrithi ...
Wiki tatu baada ya kugundulika kuwa na saratani ya shingo ya kizazi, Sayer Devi Modi mwenye umri wa miaka 88 aliamua ...
Miloud amesema amepata muda wa kufanya marekebisho ya kiufundi mazoezini, kuweka mtazamano wake kidogo kwa sababu si rahisi kubadilisha kila kitu mara moja kwani wachezaji wana tabia zao za uchezaji ...
Hii inafuatia kampeni ya mwaka uliopita ambayo iliwafikia mamia ya maelfu ya watoto chini ya umri wa miaka 10. Virusi vya polio viligunduliwa hivi karibuni kwenye sampuli za maji taka huko Gaza, ...
Mwamba anatokea Finland na akaja Bongo kufanya mapinduzi akishiriki kutengeneza nyimbo kibao kali hadi kushinda tuzo za muziki Tanzania (TMA) na kuwa Jaji wa shindano la Tanzania Pop Idols. Huyu ndiye ...
Martinelli na Saka watapambana kurudi uwanjani Machi, lakini kuwarudisha moja kwa moja mchezaji hilo litakuwa jambo la hatari katika afya za wachezaji hao, hivyo kwa sasa Arteta hana ujanja zaidi ya ...
Msimu wa Valentine mara nyingi husindikizwa na nyimbo za mapenzi na zilizojaa mahaba duniani kote. Lakini kwa mwaka 2025 imekuwa tofauti Barani Afrika kwani panatajwa kusikiliza zaidi nyimbo za ...
DARESSALAAM : MSANII wa Muziki wa Injili nchini Cosmass Chidumule amewataka watangazaji wa wamiliki wa vyombo vya habari kuacha kutoza pesa ili kupiga nyimbo za waimbaji wa nyimbo za dini. Akizungumza ...