Dar es Salaam. Ikiwa leo ni Jumatano ya Majivu mwanzo wa mfungo wa siku 40 wa Kwaresma, Wakristo wamekumbushwa kutenda mema, kujinyima na kuwakumba wenye mahitaji. Sambamba na hilo katika mfungo huu ...