Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange – Pangani - Tanga (km 170.8) kwa ...
Amesema umeme unaopelekwa mikoa ya kaskazini unapotea kwa kiwango cha megawati 17 ambazo zinatosha kuhudumia Mkoa wa Songwe (unaotumia Mega 14) na zaidi. "Hata huo wetu unaokuja kutoka Ethiopia ...