Mbilia bel maarufu Malkia wa Rhumba barani Afrika , ni msanii wa kwanza wa kike kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aliyejizolea umaarufu mkubwa miaka ya sabini na themanini.
Maelezo ya sauti, Ni kwa nini Mbilia Bel hajaolewa mpaka sasa? 14 Julai 2017 Malkia wa rhumba duniani Mbilia Bel alikonga nyoyo za mashabiki wake alipozuru Kenya wiki iliyopita, na kuwatumbuiza ...