WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa. Ametoa rai hiyo jijini Dar es Salaam ...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya Taifa. Malecela amesema ...
Profesa Janabi amesema hata mke wa Dk Ndugulile alipata nafasi ya kumfundisha na hata alipopata taarifa ya msiba huo ilimshtua zaidi. "Kinachoniumiza zaidi Dk Mwere Malecela alikuwa WHO naye ...
Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Prof Yunus ... saa chache baada ya kumfuta kazi mkurugenzi wa awali Dkt. Mwele Malecela. Taarifa kutoka ikulu imesema uteuzi wa Prof Mgaya unaanza ...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Dkt Mwele Malecela, virusi hivyo vimepatikana mkoani Morogoro, Mashariki mwa Tanzania na Mkoani Geita, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Utafiti huo ...