Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Jumuiya ya Shia Imami Ismaili nchini Tanzania imezindua Fanoos katika Jamatkhana ya kihistoria ya Upanga, hafla iliyokuwa sehemu ya mpango wa Global Encounters. Fanoos, taa ya mfano inayowakilisha ...
Chanzo cha picha, Reuters/EPA Maelfu ya wananchi wa Georgia wameandamana katika mji mkuu wa Tbilisi huku rais mpya wa chama tawala cha Georgian Dream party akiapishwa. Mikheil Kavelashvili ...
Haya yanajiri baada ya shirika la Afya Duniani (WHO) kuripoti mlipuko wa Marburg likitangaza kuwa watu wanane wamefariki kutokana na ugonjwa huo katika siku tano zilizopita nchini Tanzania.
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video ...
Idadi ya watu waliouawa huko Gaza imezua mjadala mkali tangu Israel ilipoanzisha kampeni yake dhidi ya Hamas kujibu mashambulizi katika eneo lake Oktoba 7, 2023. Tangu kuanza kwa vita hadi Juni 30 ...
Salah alishinda ubingwa wa Super League ya Uswisi kwenye misimu yake yote miwili aliyokuwa FC Basel (2012/13 na 2013/14). *Salah alifunga hat-trick ya haraka zaidi kwenye historia ya Ligi ya Mabingwa ...
Dodoma. Baada ya mchakato wa muda mrefu hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023, huku akitaja mambo matatu yalimsukuma kutaka kufanyika ...
Mabasi hayo yameondoka katika gereza la Ofer katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na gereza la Ktziot katika jangwa la Negev. Siku ya Jumamosi, jumla ya Wapalestina 200 wanaoshikiliwa katika ...
Dar es Salam. Baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuwasilisha nia ya kukata rufaa Mahakama ya Rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana ya Dk Wilbrod Slaa, Mahakama ya Hakimu ...
SK2 / S02S 28.01.2025 28 Januari 2025 Wanajeshi wengine wa Afrika Kusini wauawa mashariki Kongo+++Tanzania - Mataifa ya Afrika yanatafuta namna ya kuwaunganisha watu milioni 300 ifikapo 2030 ...