"Baada ya kusikia mwanangu ameshinda, nilijisikia vizuri, nikapiga na vigelegele, nilifurahi sana, nikasema 'Mungu ni mwema'. Nilikuwa ninamwombea sana ashinde, nikasema 'mwanangu aingie na amjalie ...
MBUNGE wa Jimbo la Kurya Magharibi nchini Kenya, Mathias Rhobi, amesema amani na usalama katika nchi ya Tanzania ni mfano wa kuigwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Aliambatana na viongozi wenzake ...