Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam leo. Picha na Sunday George Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo ...
Hilo linatokana na matukio mbalimbali yanayofanywa na vyama maarufu vya siasa nchini vya ACT-Wazalendo, Chadema na CCM tangu ulipoanza mwezi Januari. Ni mwezi wa hekaheka katika siasa, kwa sababu ...
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa tathmini ya mwaka 2024, kikikumbusha matukio 12 ya kupotea kwa raia, huku kikijinasibu kusimamia mambo matano mwaka huu. Aidha, kimeita vyama vingine vya upinzani ...
ACT-Wazalendo imetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa wanachama kujitokeza na kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kuanzia jana. Hatua hiyo ni ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni ya 'Twende Kidigitali Tukuvushe Januari' na kuwahimiza kuendelea kutumia ...
Baadhi ya wazalendo wa Israel walifurahia ushindi wa Trump mwezi Novemba wakiamini kuwa Rais ajaye atawapa msaada na nguvu zaidi katika vita hivi na huenda wazo hili likawa sio wanavyotarajia.