Ninaposema mfanyakazi si lazima aliyeajiriwa na kusubiri mshahara wa mwisho wa mwezi, kuna wale ambao wamejiajiri wakifanya ...
MARA nyingi maamuzi ya kisiasa huwa ni ya kuangaliana usoni na si kuangalia suala la msingi linalotakiwa litafutiwe ufumbuzi.
Je, dawa ya kupunguza maumivu ya gharama nafuu ya aspirini inaweza kuzuia kuenea kwa ugonjwa kama saratani? Wanasayansi ...
Mshauri wa Usalama wa Kitaifa Mike Waltz anasema Marekani "imesitisha" kushirikisha taarifa za kijasusi na Ukraine.
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amemshukuru Rais wa Marekani Donald Trump kwa kutuma silaha, ambazo almesema ...
MICHEZO minne ya kwanza ya mtoano timu 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) inaanza leo ukiwemo wa ‘derby’ ya Madrid, ...
Timu ya Fountain Gate imeendeleza ubabe dhidi ya KMC baada ya kuifunga mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa ...
Moja ya sifa anazopewa kumhusu, ni uwezo wake wa kufanya shoo za jukwaani kwa maana ya 'live performance' na kuteka mashabiki ...
habari, waandishi wa habari, sayansi na teknolojia, vyombo vya habari, uhuru wa vyombo vya habari, kutekwa kwa waandishi, ...
Vilevile matokeo ya somo hilo, kwa mwaka 2023, asilimia 25 walifaulu somo hilo wengine 74.5 wakifanya vibaya. Hali hiyo imezua wasiwasi miongoni mwa wadau wa elimu nchini, ambao wamesisitiza umuhimu ...
"Shida za wanawake wanaozijua ni wanawake wenyewe hivyo wakipata fursa ya kuingia katika nafasi za maamuzi itakuwa rahisi kusaidia kuondoa changamoto hizo," alisema Mgeni, Mkurugenzi Mtendaji TWCC, ...