HOSPITALI ya Taifa Muhimbili, imeanzisha huduma za matibabu ya kufuta ‘tatoo’, kwa watu ambao wanahitaji kuziondoa katika miili yao. Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Muhimbili, Dk. Rachel Mhavile, ...
Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Morogoro likiendelea na kazi ya kuzima moto uliotokea baada ya malori mawili kugongana uso kwa uso usiku wa kuamkia leo mkoania Morogoro na kuwaka moto eneo la ...