Shiirik la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina UNRWA leo limesema limefanikiwa kugawa maziwa ya unga kwa zaidi ya watoto 8,500 Gaza, lakini mahitaji ni mengi na maziwa hayatoshi.
nyenzo hizi zitakuwa na maelekezo ya jinsi wananchi wanavyopaswa kujiandaa endapo vita vitatokea au wanapokutana na vitu vya kemikali, kibayolojia, nyuklia, au radiamu. Kutokana na kuongezeka kwa ...
unalenga kuvifanya kuwa bora na kutoa huduma kulingana na vigezo vya kimataifa. Alitoa kauli mwishoni mwa wiki alipozindua miradi mitano ya miundombinu mbalimbali katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid ...
Vifaa vya mawasiliano vilivyotengenezwa kwa vilipuzi viliua na kujeruhi maelfu ya watu nchini Lebanon. Abdalla Seif Dzungu Chanzo cha picha, Reuters Rais Joe Biden amepunguza adhabu za kifo za ...
MGANGA wa kienyeji, Juma Lugendo (30), mkazi wa Kahama, mkoani Shinyanga, amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida akidaiwa kusafirisha vifaa vya uganga na dawa za kienyeji zilizochanganywa na ...
hasa kwa wanawake na watoto wanaohitaji vifaa vya msingi kama vile nguo za joto, nepi na fmaziwa ya unga ya watoto. Katika wiki iliyopita, Wapalestina 273 waliuawa na 853 walijeruhiwa, kulingana na ...
Alikuwa mtendaji mwandamizi wa Nissan. Vyanzo vingine vya habari vinasema kampuni ya Hon Hai ilikuwa ikiangazia, faraghani, kuhusu kushiriki kwenye usimamizi wa kampuni ya Nissan kupitia ununuzi ...
Waziri wa Afya Jenista Mhagama (wa pili kulia) wakati wa akizindua vifurushi vipya vya Bima ya Afya ya NHIF jijini Dodoma Dodoma. Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), umezindua vifurushi vipya vya bima ya ...
Zaidi ya wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini waliuawa au kujeruhiwa katika mapigano dhidi ya vikosi vya Ukraine, kamati ya wakuu wa majeshi ya Korea Kusini (JCS) imesema leo Jumatatu (Desemba 23).
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi amepokea Vyuo kumi vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Ajira na Wenye ...
Vyanzo vya habari kutoka ndani ya serikali ya Japani vinasema timu ya Rais mteule wa Marekani Donald Trump imependekeza kukutana na Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru nchini Marekani katikati ya ...
MSUMBIJI : IDADI ya vifo vilivyotokana na kimbunga Chido nchini Msumbiji imeongezeka na kufikia 45, baada ya kimbunga hicho kupiga mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa nchi. Taasisi ya Kitaifa ya ...