Aidha, amefafanua kuwa, Serikali itaendelea kuzingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu hususani katika athari zitokanazo na ...
Mwezi mmoja baada ya kusitishwa mara moja kwa mapigano mashariki mwa DRC na kuondolewa kwa vikosi vya Rwanda, vilivyotakwa na Umoja wa Mataifa kwa kura ya azimio 27-73, Baraza la Usalama ...
Ripoti mpya zinadokeza kuwa zaidi ya watu 1,600 wamekufa nchini Myanmar kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililopiga taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia siku ya Ijumaa, huku maelfu ni majeruhi na ...
Juhudi za China za kujenga maslahi makubwa ya kibiashara barani Afrika zimeambatana na sera makini ya kudumisha hali ya kutoegemea upande wowote, lakini mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya ...
Sehemu ya juu ya Shwe Sar Yan Pagoda ya Myanmar, kusini-mashariki mwa Mandalay, imeporomoka kufuatia tetemeko kubwa la ardhi. Walioshuhudia wanasikika wakipiga kelele huku sehemu ya jengo hilo ...
Taarifa iliyotolewa leo mjini Kigali nchini Rwanda imesema kuwa, mamlaka ya Rwanda jana Jumapili iliunga mkono uamuzi wa kundi la waasi la M23 kujiondoa katika mji muhimu wa madini wa Walikale na ...
Kinshasa. Angola imehitimisha jitihada zake za upatanishi katika mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kati ya Jeshi la Serikali la FARDC dhidi ya kundi la M23. Kundi ...
Miongoni mwa wengine, waliotoa ufafanuzi huo ni pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba na Gerson Msigwa, msemaji mkuu wa Serikali Jana, Rais Samia Suluhu Hassan alizungumza na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果