Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi ...
MAMLAKA ya Rufani ya Zabuni za Umma(PPAA),imefanikiwa kudhibiti upotevu wa thamani ya zaidi ya billion 583 zilizoelekezwa kwa wazabuni ambao hawana uwezo wa kifedha na waliokosa sifa za kitaalamu za ...
Kufuatia matamshi yenye utata ya Donald Trump kuhusu uwezekano wa "Marekani kuchukuwa udhibiti wa Gaza na kuwahamisha wakazi wake," Waziri wa Ulinzi wa Israeli… Inatokea sasa hivi Marekani ...
Kampala imesisitiza maofisa ambao imewatuma nchini DRC ni sehemu ya walinda usalama wa oparesheni shujaa pekee. Operesheni Shujaa imekuwa ikitekelezwa kwa ushirikiano wa wanajeshi wa DRC na wale ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels, Ubelgiji kuamua iwapo wanatakiwa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa jumuiya ya kanda ya Afrika Mashariki utawajumuisha viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujadili mgogoro wa ...
Dk Doto Biteko amesema kuwa Tanzania inachukulia mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika – Misheni 300 kama kichocheo cha utekelezaji wa Sera yake ya Taifa ya Nishati inayolenga kuendeleza ...
Dar es Salaam. Baada ya watumishi wa umma jijini Dar es Salaam kutangaziwa kufanyia kazi nyumbani isipokuwa wale ambao mazingira yao ya kazi yanawataka kuwepo vituoni, Wizara ya Elimu Sayansi na ...
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Ester Mahawe ukiwa tiyari kwenye eneo la makaburi kwa ajili ya maziko nyumbani kwake eneo la ngaramtoni ya chini jijini Arusha, picha na Bertha ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果