AUSSOM kuchukua nafasi ya ATMIS kuanzia Januari 1 hadi Desemba 31 2025 Inafuatia ombi la Muungano wa Afrika kusongesha ulinzi na usalama Somalia Ufadhili wake unatoka Umoja wa Mataifa na Muungano wa ...
wameshambulia kambi ya wanajeshi wa Jeshi la taifa la Somalia na vikosi vya Jubaland katika eneo la Juba ya Chini," Wizara ya Ulinzi imesema katika taarifa. Wizara hiyo pia imesema kuwa Bw.
Mzozo huo ulianza Januari wakati Ethiopia isiyo na bandari ilipofikia makubaliano na eneo lililojitenga la Somalia la Somaliland kukodisha sehemu ya ufuo kwa ajili ya bandari na kambi ya kijeshi.
Mazungumzo hayo yalifanyika huku kukiwa na mvutano mkali kati ya Somaliland na jimbo la Somalia la Ethiopia kuhusu madai ya kuhusika kwa jeshi la polisi la Liyuu katika mapigano hayo. Tarehe 25 ...