Hadi sasa, mimi bado nachagua ususi ninapotaka kupumzika kwa miezi michache bila kusumbuka na kufumua nywele, au ninapotaka kujaribu rangi mpya bila kuhatarisha afya ya nywele zangu kwa kutumia ...
Mfumo mpya wa kinga ya mwili imegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini na mfumo huo una muundo wa siri ambao unaweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kung’ara katika ulingo wa mawasiliano na uhusiano wa umma baada ya kushinda Tuzo ya Ubora ...
Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel,imezindua huduma mpya itakayosaidia mteja kujihudumia kwa kutoa taarifa juu ya jambo alilolitilia mashaka ilikupunguza changamoto ya mawasiliano kati ya mtoa huduma ...
Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini. Utafiti huo unalenga kubaini aina mpya za samaki, hatua ambayo itasaidia Serikali ...
Watu wa kisiwa cha Indonesia cha Bali walisherehekea Mwaka Mpya katika kalenda ya Hindu kwa gwaride la sanamu kubwa za jinamizi. Mkesha wa Mwaka Mpya wa Kihindu ulikuwa juzi Ijumaa mwaka huu.
Ugaidi na makundi yenye itikadi kali, uhalifu wa kupangwa, utumiaji silaha wa teknolojia mpya na athari za mabadiliko ya tabianchi ni baadhi ya vikwazo vya hivi karibuni vinavyokabili ujumbe wa Umoja ...
Muonekano wa uwanja mpya wa Manchester United utakavyokuwa, utajengwa pembeni ya uwanja wa Old Trafford. Manchester, England. Manchester United imepanga kujenga Uwanja mpya ambao utakuwa na uwezo wa ...
NI kitu cha wazi kabisa, Arsenal itakuwa bize kwelikweli kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kusaka ...
Tunafurahi kumkaribisha kuwa kiongozi mpya wa shirika letu.” Eyakuze ameeleza kuwa, “Nafurahi sana na uteuzi wa Anna. Nimefanya kazi naye hapo awali na naweza kushuhudia uaminifu wake wa kipekee, ...
Dirisha la usajili la majira ya kiangazi la mwaka jana lilifungwa Agosti 31, 2024, na hili la mwaka huu litafunguliwa rasmi Juni 12. Hata hivyo, mpango mpya wa dirisha la mwaka huu ni kufungwa Agosti ...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amemchagua aliyekuwa Kamanda wa Jeshi la Wanamaji Eli Sharvit kuwa mkuu mpya wa Shin Bet, ofisi yake imesema siku ya Jumatatu, licha ya Mahakama ya Juu ...