@nipashedigital MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo amesema serikali imeokoa kiasi cha zaidi ya Sh. million 200 zilizotaka kupigwa na baadhi ya watu jimboni hapo wakati wa ununuzi wa eneo la ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo amesema ndani ya miaka minne ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Arusha kwa ujumla hisusani jimbo lake wamekuwa wanufaika wakubwa wa miradi ...
Mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo (kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude kwenye mkutano wa wananchi. Arusha. Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amefichua taarifa za wizi wa fedha ...