Ni siku - na msimu - ulioyojaa nyimbo za Krismasi, kupamba miti ... Kwa Wakristo Krismasi inahusu kuzaliwa kwa Mwana wa Mungu – Yesu Kristo. Inahusu jinsi alivyokuja duniani kuwapa upendo ...
Hili halikuwa jambo la ajabu kwani licha ya kuwa Mke wa rais, Bi Denise Nkurunziza ni muhubiri, maarufu kwa maombi na mwalimu wa neno la Mungu, pia ni muimbaji na mtunzi maarufu wa nyimbo za ...