WAUZAJI dawa za kulevya wamebadili mbinu, wakiibuka na njia mpya, zikiwamo za medani za kivita, ili kukwepa kukamatwa, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imethibitisha. Kwa ...
Bataliano tatu mpya za vikosi vya uingiliaji kati wa haraka ambavyo kuundwa kwake kulitangazwa Ijumaa, Januari 3, na Kapteni Ibrahim Traoré, mkuu wautawala wa kijeshi iliyoko madarakani nchini ...
Katika kuadhimisha mwaka mpya, tunapata nafasi ya kutafakari na kufanya mabadiliko chanya katika maisha yetu. Wengi hutumia kipindi hiki kupanga malengo na mikakati mipya na ni muhimu kukumbuka kuwa ...
KAMA wewe ni mpenzi na shabiki wa Simba, basi tegemea kuona maajabu zaidi kutoka kwa kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua hasa kwa mechi za kimataifa, baada ya kocha Fadlu Davids kueleza mipango ya ...
TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela(NM- AIST) imesisitiza kulinda bunifu mpya zinazoonyeshwa na wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili zisiweze kuibwa na wabunifu ...
DAR ES SALAAM; WATOTO 19 wamezaliwa katika hospitali za mkoa za rufaa Dar es Salaam usiku wa kuamkia Mwaka Mpya wa 2025. Maofisa habari wa hospitali hizo walithibitisha hayo jana walipozungumza na ...
iliyosikika kwenye nyimbo mpya za Lin-Manuel Miranda. Sehemu ya kushangaza zaidi ya filamu hiyo ni mwongozaji wake, Barry Jenkins, ambaye anafahamika zaidi kwa tamthilia yake iliyoshinda tuzo ya ...
New Zealand na Australia zilikuwa baadhi ya nchi za kwanza kusherehekea mwaka mpya, zikifuatiwa na nchi nyingine za Asia na Mashariki ya Kati na Afrika. Dunia imesherehekea kuwasili kwa 2025 kwa ...
Kupitishwa kwa Katiba mpya kulifuatiwa na kufunguliwa kwa mashauriano ya marekebisho ya kanuni za uchaguzi, kwa lengo la uchaguzi wa urais, wa wabunge na wa serikali za mitaa, uliopangwa kufanyika ...