Hapa Bongo studio ni nyingi mno ... Nobody But Me), huku akitoa ‘hits’ za Navy Kenzo kama Game, Katika, Kamatia n.k. Bob Junior - Sharobaro Records Huyu naye alianza kama Prodyuza na kupata umaarufu ...
WAUZAJI dawa za kulevya wamebadili mbinu, wakiibuka na njia mpya, zikiwamo za medani za kivita, ili kukwepa kukamatwa, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imethibitisha. Kwa ...
TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela(NM- AIST) imesisitiza kulinda bunifu mpya zinazoonyeshwa na wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili zisiweze kuibwa na wabunifu ...
STAA wa Bongofleva, Rayvanny ameachia albamu ya pili, The Big One (2024) yenye nyimbo ... za MTV EMAs 2021. Ndiye msanii wa kwanza Afrika Mashariki kusikilizwa (streams) zaidi ya mara milioni 100 ...
“Kwa upande wa ujumbe bado ni tatizo, kuna tungo zimejaa matusi, utoto na masihara mengi lakini kama watakuwa na ubunifu kwa kuchanganya na vionjo kidogo vya nyumbani hata katika nyimbo za kuburudisha ...
Nakala ya Katiba mpya ... wabunge na wa serikali za mitaa, uliopangwa kufanyika 2025 ili kufunga kipindi cha mpito kilichoanzishwa baada ya kupinduliwa kwa familia ya Bongo.
Kremlin inaweza kutafuta mahali pengine kuweka kambi zake mpya za operesheni barani Afrika. Kuna maeneo makuu mawili: Libya na Sudan. Zote zinawasilisha fursa na changamoto kwa Jeshi la Afrika.
na kampeni za elimu kwa umma, zilipunguza nusu ya idadi ya kesi mpya ndani ya wiki mbili na kuzipunguza kwa 90% muda mfupi baadaye. Ili kuzuia kuibuka tena, Rwanda itaendelea na ufuatiliaji wa ...
Mjini Washington, katika kumbi za Baraza la Congress ... Rais Mteule wa Marekani hata hivyo ametoa baraka zake kwa rasmu mpya ya Republican, akikaribisha "makubaliano mazuri sana kwa watu wa ...
URUSI : RAIS wa Urusi Vladimir Putin amemteua gavana mpya wa mkoa wa Kursk, Alexander Khinshtein ... SOMA : Jeshi la Korea Kaskazini laingia Urusi Kwa mujibu wa duru za kijasusi za kimagharibi ...