Yaani hufanya kila aina ya vituko barabarani, ambavyo ni hatari kwa usalama wao. Vilevile, kuna kero ambayo madereva hao wanachangia ya kutawala pande zote za barabara kwa muda na kusababisha watu ...
Anasema nia yake ni kuwajengea wanachama wengi zaidi uzoefu wa uongozi na utumishi wa chama. Lissu ambaye ni wakili kitaaluma, anasema nia nyingine ya kuisuka katiba ya CHADEMA kutengeneza mifumo bora ...