SWALI: Tanga mjini ukawa unafanya shughuli gani? JIBU: "Nilikuwa nafanya kazi ya kubeba mzigo katika soko la Mgandini. Nilikuwa nabeba masunduku ya nyanya, magunia ya viazi. "Kuhusu kipato ukweli ...