VINARA wa Ligi Kuu England (EPL), Liverpool watacheza na Paris St-Germain katika hatua ya 16-bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
(Fabrizio Romano) Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Newcastle kumuuza Isak ikiwa haitafuzu klabu bingwa Ulaya 17 Februari 2025 Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Real Madrid wako tayari kumnunua beki wa ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Jumatatu, Februari 24, kwamba nchi za Ulaya zinaweza "kushiriki" katika mchakato wa kusuluhisha mzozo wa Ukraine, wakati EU inahofia kutengwa tangu ...
Arsenal na Tottenham wote wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Fiorentina na Italia Moise Kean mwenye umri wa miaka 24. (Nicolo Schira) Manchester United na Aston Villa zote zilikuwa tayari kutoa ...
WABUNGE saba wa Bunge la Ulaya (MEPs), kutoka Kamati ya Maendeleo watafanya ziara nchini Tanzania kuanzia Februari 24 hadi 26, mwaka huu. Lengo ni kutathmini athari za uwekezaji wa Umoja wa Ulaya (EU) ...
Waziri huyo wa mambo ya nje wa Israel ameshiriki mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya Umoja wa Ulaya na Israel akiwa pamoja na mkuu wa sera za kigeni wa EU Kaja Kallas, ikiwa ni mara ya kwanza ...
Viongozi wakuu wa Ulaya wanafanya mkutano wa dharura nchini Ufaransa kujadili hali ya Ukraine na changamoto za kiusalama barani Ulaya. Ofisi ya rais wa Ufaransa imetangaza kwamba mkutano usio ...
LONDON, ENGLAND: TOFAUTI ya bao moja tu ndilo lililoamua matokeo ya mechi sita kati ya nane za mkono wa kwanza kwenye mchujo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kabla ya kuingia kwenye mechi za marudiano wiki ...
Siku ya Jumatatu asubuhi, azimio la kwanza lililotayarishwa na Ukraine na washirika wake wa Ulaya lilipitishwa katika Bunge hilo kwa kura 93 za ndio, 18 zilipinga, na 65 hazikupiga kura ...
MUNICH, UJERUMANI: MAMBO ni moto kwa vijana wawekezaji kwenye soka la Ulaya wikiendi hii, kutokana na kupigwa mechi matata kabisa katika ... Paul, Wolfsburg na VfL Bochum na Borussia Dortmund itacheza ...
Marekani imekuwa ikizitaka nchi za Ulaya kuweka bayana ni michango gani zinaweza kutoa katika kuhakikisha usalama nchini Ukraine. Akizungumza na wanahabari baada ya mkutano huo, Starmer alisema ...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeingia makubaliano na Umoja wa Ulaya ya kuboresha utawala bora, kuimarisha nafasi ya kiraia na kukuza uwajibikaji hapa nchini. Mradi huo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果