Kwa masikio na macho yetu, tumeshuhudia straika wa Fountain Gate, Selemani Mwalimu, akisajiliwa na klabu hiyo ya nchini Morocco. Amesajiliwa akiwa amecheza kwenye klabu yake kwa nusu msimu tu.