4. Video ya kwanza kwa Belle 9 kugharimu fedha nyingi ni ya wimbo wake 'Shauri Yao' ambayo alitoa Sh12 milioni ambapo Director pekee, Hanscana alichukua Sh4 milioni na hii ndio video ya kwanza ...
MWANAMITINDO maarufu Bongo ... kuachia kazi yoyote mpya kwa mashabiki licha ya awali kupata mapokezi mazuri upande huo. Kazi ya mwisho ya Hamisa kutoa ni video ya wimbo wake 'Murua' iliyotoka Desemba ...
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza katika salamu zake za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, ametoa ujumbe maalumu kwa matajiri na wanasiasa. Katika ...
Siku ya Jumamosi pia, picha zilizorushwa na shirika la habari serikali ya Syria SANA zimeonyesha mkutano kati ya kiongozi mpya wa Syria na mkuu wa ofisi ya mikakati ya usalama ya Bahrain ...
Wakati huu tunakuletea Salamu za Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Japani Baraka Luvanda na Kaimu Balozi wa Kenya nchini Japani Arthur Andambi. Aidha, utasikiliza ...
(Standard). Mkufunzi wa timu ya Brighton ya wachezaji walio chini ya umri wa miaka 18 Calderon, 42, yuko kwenye mazungumzo ya juu ili kuwa meneja mpya wa Bristol Rovers. (Sky Sports), nje Chanzo ...
Ujumbe wa Iraq umekutana siku ya Alhamisi, Desemba 26, na mamlaka mpya ya Syria mjini Damascus, amesema msemaji wa serikali ya Iraq, zaidi ya wiki mbili baada ya rais Bashar Al Assad kutimuliwa ...
HABARI kuu kisiasa hivi sasa ni uchaguzi wa viongozi wakuu wa CHADEMA, safari inayoanza na minyukano hadi kufikia mchuano mkali. Pamoja na kwamba wagombea watatu wamejitokeza, mchuano mkali ni kati ya ...
Dar es Salaam. Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka ...
(Caughtoffside), nje Liverpool wana uhakika mlinzi wa Uholanzi Virgil van Dijk, 33, ambaye mkataba wake unamalizika majira ya joto, atasaini mkataba mpya wa miaka miwili na klabu hiyo. (Team Talks ...
Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 27, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema yapo malalamiko ya wananchi kuhusiana watoto kuzua taharuki wanapopiga baruti katika makazi ya ...