Joto la kusaka ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kwenye majimbo yaliyopo Mbeya na Songwe limezidi kupanda, baada ya baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutajwa kuwania nafasi hizo, jambo ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange – Pangani - Tanga (km 170.8) kwa ...