Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imemnukuu António Guterres akisema mlinda amani huyo aliuawa Ijumaa na watu wasiojulikana wakati kikosi chao kilipokuwa kwenye doria katika kijiji cha Tabane ...