Vituo vya afya katika eneo lenye utulivu viliripoti kuanzia Januari 27 hadi Februari 2 jumla ya kesi 572 za ubakaji - ...
Ulikuwa uchaguzi wenye ushindani, ambapo Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Djibouti Mohammed Ali Youssouf ameibuka mshindi dhidi ya Raila Odinga, waziri mkuu wa zamani wa Kenya na Richard ...
“VIJANA wasiseme siasa haiwahusu, wajue kila mmoja siasa inamuhusu hata kama hujihusishi nayo.” Ndivyo anavyosema Ofisa Mradi ...
Wengi hawafahamu kuwa baadhi ya tabia zinazochukuliwa kuwa ni za kawaida, kama vile matumizi ya pombe kupita kiasi na kubweteka bila kufanya mazoezi, zinaweza kuwa na madhara makubwa kwenye ...
mfungaji na mchezaji bora kwa maana ya MVP. Mwanaspoti imekuchambulia mambo matatu ya kuyatazama zaidi ligi itakaporejea hasa ile vita ya kiatu inayowaniwa na warembo wa Simba na JKT. Hadi sasa ikiwa ...
Alisema visiwa vya Zanzibar ni lango kuu wakati Dar es Salaam ni mji wenye kazi nyingi za kutumikisha mabinti na watoto hasa biashara haramu ya ngono. “Zanzibar ni lango kuu na Dar es Salaam ndio ...
UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), ambao umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu siku za hivi karibuni, umefanyika mwishoni mwa wiki na Mahamoud Ali Youssouf Ali Youssouf, Waziri wa ...
Nyota hao ambao anafanya vyema kwenye muziki ndani na nje ya nchi, wamekuwa wakifuatiliwa sana na mashabiki na wadau wa muziki kutokana na ukaribu hao na mara kadhaa wamekuwa wakihusisha na ndoa na ...
Akizungumzia michango hiyo ya wabunge, Profesa wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) Mohammed Makame amesema kwa kuwa Bunge lipo ukingoni, wabunge wahakikishe mambo ambayo hayajakamilishwa, yanakamilishwa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果