Mfumo unaotumia Akili Unde (AI), utakaomwezesha mtu kujipima na kubaini changamoto za afya akili kwa kutumia simu au kompyuta na kisha kupata ushauri wa kitaalamu, utazinduliwa Juni mwaka huu.
Wakati watu 14 wakifariki dunia huku wengine 117 wakijeruhiwa kwa ajali ndani ya siku nne, mkoani Kilimanjaro, mashuhuda wa ...