Yote hayo na mengine mengi huchangia mimba, utoro na watoto kuchukia shule, kuteswa na kumaliza shule bila kujua kusoma wala kuandika. Ni vyema wazazi, walezi na wadau wa elimu watatue matatizo hayo ...