Nchi tatu zilizo chini ya utawala wa kijeshi zimeondoka rasmi katika kanda ya Afrika Magharibi Ecowas, baada ya zaidi ya mwaka mmoja wa mvutano wa kidiplomasia. Kujiondoa kwa Mali, Burkina Faso na ...