Mahakama ya Rufani imetengua adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyokuwa amehukumiwa Alphonce Michael na kuamuru aachiwe huru.