“Tanzania ina vipaji vikubwa vya soka, kuna wachezaji wengi sana ninaowakubali hao ni baadhi tu, wengine nacheza nao Tabora United,” anasema Makambo anayewataja Andrew Vicent ‘Dante’ na Paul Godfrey ...