Katika maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, inayoadhimishwa Machi 24 kila mwaka, Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO, limetoa wito wa dharura kwa uwekezaji wa rasilimali ili ...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeweka mikakati ya kuwatafuta wagonjwa 864 wa Kifua Kikuu ambao hawajabainika ili waanzishiwe matibabu. Akizunguma leo Machi 24,2025 ikiwa ni maadhimisho ya Siku ...
Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40, hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo la kutokomeza ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030.
Dar es Salaam. Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) vimepungua kutoka 56,000 mwaka 2015 hadi 18,400 mwaka 2024, hii ikiwa ni sawa na punguzo la asilimia 68. Katika mgawanyo kitakwimu, ...
Tangu hapo awamu zote za serikali zimepambana kutokomeza maadui hao na bado juhudi zinaendelea na mafanikio yanaonekana kwani inaelezwa hivi sasa Tanzania imepiga hatua kubwa kupunguza maambukizi ...
Kila ifikapo Machi 24 huwa ni siku ya kimataifa ya Kifua Kikuu Duniani. Ni ugonjwa hatari unaoshambulia mapafu na maeneo mengine ya mwili. Siku hii iliyoadhimishwa Jumatatu wiki hii ilikuwa na ...
Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwana kuangaza namna waendesha bodaboda wanaweza kuchukua tahadhari ya kupambana na maambukizi ya kifua kikuu ...
MKURUGENZI wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni, Boniface Kadili amekipongeza Chuo kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwa kuanzisha Shahada ya Umahiri katika usimamizi wa rasilimali za utamaduni. Kadili ...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, leo limeonya kwamba kupunguzwa kwa ufadhili hasa wa Marekani kunatishia mafanikio ya miongo kadhaa katika mapambano dhidi ya kifua kikuu au TB, ambao ...
Dk Andrea Wickfield, mkurugenzi wa kituo cha kushughulikia Upweke katika Chuo Kikuu cha Sheffield Hallam huko Uingereza, anasema "upweke ni hali ya huzuni na hisia ya kutoridhika inayotokana na ...
KATIBU wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo Taifa, Amos Makalla, CPA Amos Makalla, amesema hawana haja ya kuwabembeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao, ...
SECL organizes a One-Day Advanced Orientation Programme on TB & HIV Prevention as part of India's 100-Day TB Elimination Campaign (Dec 7, 2024 - Mar 17, 2025), in Bilaspur. As part of the 100-Day ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果