Mashindano ya hivi majuzi ya tenisi ya vijana ya Afrika chini ya umri wa miaka 14 (AJCCC) yaliyofanyika kuanzia Februari 24 ...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga , yupo kwenye harakati za mashauriano ya kisiasa na wafuasi wake, kabla ya ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, ...
Ijumaa iliyopita, Zelensky na Trump walizozana hadharani katika Ikulu ya White House - ambapo Trump alisema Zelensky hakuwa ...
Donald Trump amesema anafikiria kuweka vikwazo na ushuru mpya dhidi ya Urusi, kufuatia mashambulizi makali ya usiku dhidi ya ...
Makamu wa Rais,Dk Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya, Korir Sing’oei, ameipuuzilia mbali barua kutoka kwa Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) inayomuunga mkono Richard ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ametoa wito wa kuimarishwa ushirikiano zaidi kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kuweza ...
Ajali hiyo ilitokea Februari 25 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya ikihusisha gari la Serikali na basi la Kampuni ya CRN wakati wa hitimisho ya ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) ...
Na Mohammed Ulongo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha mashindano ya ...