Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mpito wa Kampuni ya Yas Tanzania, Jerome Albou ametaja sababu zilizoifanya kampuni hiyo kubadili jina kutoka Tigo. Albou amesema lengo lao kuu ni kutaka kuboresha ...