Zelensky yanatangaje ifoto igaragaza indangamuntu ya gisirikare y'ibara ry'umutuku y'Uburusiya igaragaza ahantu h'amavuko ko ari i Turan, muri repubulika ya Tuva yo mu Burusiya, ihana imbibi n ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...
Ukiachana na Vanessa, Wema Sepetu, Miss Tanzania 2006 ni staa mwingine Bongo aliyetangaza kuachana na matumizi ya pombe, Wema aliweka hadhani uamuzi huo hapo Mei 2023 akisema lengo lake ni kulinda ...
MKOA wa Shinyanga, umesherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kupanda miti 500 katika shule ya msingi Mapinduzi, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa. Upandaji huo ...
Hamisa alivuma baada ya kutwaa taji la Miss XXL, After School Bash 2010, kuibuka mshindi wa pili Miss Dar Indian Ocean 2011, mshindi wa pili Miss Kinondoni na kuingia nusu fainali ya Miss Tanzania ...