Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Mfumo Jumuishi wa Forodha Tanzania (Tancis) ulioboreshwa, ambao unatajwa kuwa tiba ...
Hoja tatu zimeibuka baina ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku wajumbe ...
MAREKANI : MAELFU ya wakazi kusini mwa mji wa California wametakiwa kuondoka baada ya kuzuka moto mpya wa nyika, kaskazini mwa Los Angeles. Moto huo, unaojulikana kama Hughes Fire, umesambaa kwa ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko ...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO, umethibitisha kuwa waasi wa M23 wametwaa baadhi ya maeneo jimboni Kivu Kusini, miongoni mwao ikiwa ...
Uchumi wa dunia unadorora na hivyo kuzuia soko la ajira kukwamuka kikamilifu, imesema ripoti mpya ya shirika la Umoja wa ...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu ...
WAKAZI wa manispaa wako hatarini kukumbwa na maradhi, ikiwamo saratani kutokana na kukithiri kwa taka za plastiki ...
Milio ya risasi imesikika hadi katikati ya jiji la mji mkuu wa Kivu Kaskazini, likiwa limezingirwa na M23 na wanajeshi wa ...
Matokeo haya ni baada ya miaka takribani 20 ya uongozi wa Freeman Aikaeli Mbowe, aliyechukua hatamu za kuwa Mwenyekiti wa ...
Visa vya uchimbaji wa madini haramu   vimeongezeka katika nchi mbalimbali barani Afrika .Afrika Kusini ikiwa  mfano wa nchi ...
Rais mpya wa Msumbiji Daniel Chapo, wa chama tawala cha FRELIMO, ameapishwa rasmi kuwa rais wa Msumbiji katika hafla ya ...