JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata askari wawili wa usalama barabarani (trafiki) kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa mabasi ya abiria, maarufu kama daladala.
Staa Duran amekubali kujiunga na Al Nassr, ambayo itakwenda kumlipa Pauni 16.7 milioni kwa mwaka. Mshahara huo ni sawa na Pauni 1.4 milioni kwa mwezi, Pauni 321,000 kwa wiki, Pauni 46,000 kwa siku na ...
WAKATI jumla ya mabao 264 yakifungwa hadi kumalizika kwa mechi za mzunguko wa kwanza, Simba inaonekana ni hatari zaidi kufunga mabao wachezaji wake wanapokuwa ndani ya eneo la hatari, huku Yanga ...
Raila hakuwa kiongozi serikalini, Ruto alijua hilo, lakini alifanya kampeni chafu. Alisema, yeye akiingia ofisini, kila kitu kingekuwa sawa. Matokeo yake, Ruto amefanya mapatano na Raila. Tena, ...