Sasa wananchi wanaelimishwa matumizi bora ya ardhi na kutenga misitu ya hifadhi ya vijiji kwenye ardhi zao, ili kuboresha usimamizi endelevu wa misitu na uzalishaji endelevu wa nishati iitwayo ...
Jaji mkuu katika hotuba yake, amemweleza Rais kuwa iwapo suala la ardhi litawekwa vizuri, litasaidia kutatua matatizo mengi na mahakama itakuwa na migogoro michache, baada ya mingi kuishia kwenye ...
Ingawa ubaguzi wa rangi ulimalizika zaidi ya miaka thelathini iliyopita, watu weupe bado wanadhibiti sehemu kubwa ya ardhi inayotumika kwa kilimo nchini humo. Takwimu za sasa zinaonyesha kuwa watu ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametupilia mbali tuhuma za rais Donald Trump kwamba mamlaka nchini mwake zinachukua ardhi kwa nguvu ... Afrika Kusini na kwa sasa ni mshauri wa Trump.
Tetemeko la ardhi Uturuki-Syria Uturuki, nchi ambayo kwa kiasi fulani iko barani Ulaya na Asia, inapatikana katika mojawapo ya maeneo yenye mitetemeko mingi ya ardhi duniani na imewahi kukumbwa na ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Timotheo Mnzava akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za kamati yake ya mwaka unaoishia Februari 2025. Dodoma. Bunge ...
Kumekuwa na wito wa mara kwa mara kwa serikali kushughulikia mageuzi ya ardhi na kukabiliana na dhuluma za zamani za ubaguzi wa rangi. Inatokea sasa hivi ...
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amesema ameanza kuamini msemo usemao kwamba, ardhi imelaaniwa kwa sababu kila afaye huenda chini. Mapunda amesema hayo katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ...
AFRIKA YA KUSINI : RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amechukua hatua ya kumaliza mzozo kati yake na utawala wa Marekani kuhusu sheria mpya ya ardhi kwa kuzungumza na mjasiriamali Elon Musk. Musk ...
"Mateso ya watu katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kimabavu na Israel hayawezi kuvumilika. Wapalestina na Waisraeli wanahitaji amani na usalama, kwa misingi ya hadhi kamili na usawa." Imesisitiza ...
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, ametia saini sheria inayoruhusu serikali kunyakua ardhi kutoka kwa wazungu bila kutoa fidia, hatua ambayo imezua mzozo mkali ndani ya serikali yake.