Wakuu wa nchi kutoka Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC na wale wa Afrika Mashariki, Ijumaa na Jumamosi ya wiki ...
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema kazi imebaki kwake na wachezaji kuhakikisha kupambana ili kufikia malengo ...
Vyanzo vya Umoja wa Mataifa vinasema Uganda kupeleka wanajeshi wa ziada kaskazini mwa Goma ni kuunga mkono jeshi la Rais wa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka majaji na mahakimu nchini, kuacha kuwa miungu watu katika utoaji wa hukumu na kuwataka watende haki kwa misingi ya sheria na Katiba ya nchi. Pia, amewasihi wakati h ...
Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa kundi la M23 wametangaza usitishaji mapigano ...
VITA ya bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga na timu inayoshika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi hiyo KenGold, itaamuliwa kibabe kesho kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Saalam.
Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma amesema migogoro ya ardhi ndio inayozaa makosa mengi ya kijinai nchini, sambamba na kuwa ...
Wikiendi iliyopita Simba na Yanga zilimaliza mechi zao za viporo vyao vizuri na kuzidisha ushindani wa kuwania ubingwa wa ...
SHULE Sekondari Feza Boys imejivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora baada ya kufaulisha wanafunzi ...
SEHEMU ya kwanza ya ripoti hii jana iliangazia madhara ya taka hatarishi za hospitalini zinazotapakaa kwenye ufukwe wa Rainbow, Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam. Endelea kupata undani wa uc ...