Mama Samia Suluhu Hassan ni rais wa sita wa Tanzania ambaye ameingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli. Alikuwa Makamu wa Rais toka mwaka 2015.
Maelezo ya sauti, Je, Mama Samia anatakiwa kuapishwa lini kuwa rais Tanzania? 18 Machi 2021 Mama Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa Makamu wa Rais toka mwaka 2015 sasa atakuwa mrithi wa rais John ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameiomba timu ya Wanasheria wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, kuorodhesha ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesimulia alivyobebeshwa jukumu la kusimamia sekta ya maji akiwa Makamu wa Rais, baada ya kupewa ...
Semfuko aliyasema hayo Machi 19, 2025, alipotembelea Hifadhi hiyo kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kujionea vivutio vya ...
WANANCHI zaidi ya milioni 43 kutoka mikoa 23, halmashauri 154 , kata 1,639, vijiji 4,897 vimefikiwa na kampeni ya msaada wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amewafuturisha Watoto wanaolelewa katika Makao ya Taifa ya Watoto Kikombo Dodoma katika Kipindi hiki ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameonya kuwa mwananchi yoyote atakayekaidi kupata suluhisho kupitia msaada wa ...