Wakati mkewe Sylvia na mtoto wao wa kiume Noureddin wakiwa bado korokoroni, rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameamua kuanzisha mgomo mpya wa kula ili kupinga kuendelea kuzuiliwa licha ya ...
Tangazo hilo lilikuja muda mfupi baada ya Tume ya uchaguzi kusema kuwa Rais Ali Bongo Ondimba ameshinda kwa muhula wa tatu katika uchaguzi wa Jumamosi ambao ulikuwa na utata. Gabon sasa inaungana ...