KUNA mchapo mmoja mashuhuri kuhusu wanawake na siasa za Tanzania. Ni hadithi inayohusu mazungumzo yaliyofanywa na Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Julius Nyerere, na mmoja wa wapigania Uhuru ...
Toka mwaka 2017 kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni 7%. Moja ya chachu ya kasi hiyo ni biashara ndogondogo ambazo kwa kiasi kikubwa zinamilikiwa na wanawake. Takwimu za usawa wa kijinsia ...