MTANDAO wa Wanaharakati wanaopinga usafirishaji haramu wa binadamu (TANAHUT), umetaja mikoa inayoongoza kwa biashara hiyo ...
Kusini mwa Zanzibar nchini Tanzania, kuna utaratibu usio wa kawaida ambapo baadhi ya wanafunzi wa madrasa wamekuwa wanawekewa vijiwe vidogo au hata tunguja (nyanya pori) kwa lengo la kuwafanya ...
Wanafunzi wa Afrika Kusini ambao wanaendesha ndege ndogo kutoka nchini Afrika Kusini kwenda Misri imetua Zanzibar. Safari hiyo ya kutumia ndege aina ya Sling 4 inaendeshwa kwa zamu na marubani ...
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewasilisha muhtasari wa mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya ...
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi 33 wanaotumikia adhabu za makosa yoyote katika Chuo cha Mafunzo katika Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kwa mujibu wa ...
Mtaalamu wa mambo ya elimu, Neil Donald Fleming kutoka New Zealand, alikuja na nadharia yake ya ujifunzaji iitwayo VARK Leaning styles 1987. Ilijikita katika aina nne za wanafunzi na namna ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Uchumi wa Zanzibar umekua kutoka asilimia 5.1 kutoka mwaka 2021 hadi asilimia 7.5 mwaka 2024.
Katika jitihada za kujenga nguvu kazi yenye ushindani na ubunifu wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) sasa wataongezewa ujuzi na maarifa ili kukabiliana na changamoto za soko la ajira. Hatua hiyo ...