Wanaume wawili wamechapwa viboko 85 kila mmoja kwenye mkoa wa Ace nchini Indonesia baada ya kufumaniwa wakifanya mapenzi. Wanaume hao walisimama kwenye jukwaa wakiwa na mavazi meupe wakiomba ...
Haya yanasemekana kuwaonesha wakifanya kazi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Sudan au kudaiwa kusaidia vikosi vya usalama kukabiliana na maandamano. BBC ...
Mamlaka za Brazil zinasema zimewaokoa vibarua zaidi ya 160 waliokuwa wakifanya kazi katika hali “zinazofanana na utumwa” kwenye eneo la ujenzi wa kiwanda cha kampuni ya magari ya umeme ya ...