Mjasiriamali kijana kutoka nchini Uganda Christine Namubiru Mutebi ni muanzilishi mwenza wa kampuni iitwayo 1620 Footsteps. Amepata ufanisi mkubwa kwa kuyaremba magari ndani kwa kutumia vitambara ...